Gavana Murutu Ajitetea Kuhusu Madeni Ya Kaunti.

governor-john-mruttu-taita-taveta-county

Gavana wa kaunti ya Taita  Taveta John Murutu amejitetea kuhusiana na madai ya kuwepo madeni katika serikali ya kaunti hiyo, akisema hakuna serikali isiyosaidaiwa kote ulimwenguni.

Katika mahojiano na waandishi wa habari mjini Voi, Mrutu amekiri kuwepo wanakandarasi wanaoidai serikali yake zaidi ya shilingi milioni 3, huku akikana madai ya kuwepo wafanyikazi wanaodai marupurupu yao.

The post Gavana Murutu Ajitetea Kuhusu Madeni Ya Kaunti. appeared first on Mediamax Network Limited.


Source: MediaMax Limited

Share this with your FriendsShare on Facebook
Facebook
0Tweet about this on Twitter
Twitter
Share on Google+
Google+
0Share on LinkedIn
Linkedin
Email this to someone
email
Print this page
Print

Post a Comment

You May Also Like

Recommended
The European union election observation is warning of possible breakout…